top of page

Ukurasa wa Twitter sasa hivi uko mikononi mwa Obama.. Idadi ya Followers wake na Tweets zake ndani y

  • posted by salum
  • May 19, 2015
  • 1 min read

Ni kama miaka sita hivi imepita tangu Rais Obama amekabidhiwa Ikulu ya White House na kuwa Rais wa nchi hiyo.. labda umewahi kuona Tweets kwenye account ya Obama, lakini kumbe tweets hizo hata hakuhusika kuandika!! Ni saa 22 tu mpaka...

po.jpg

sasa tangu Obama amekabidhiwa rasmi kuendesha ukurasa wake wa Twitter yeye mwenyewe.

Idadi ya followers alionao ni Mil. 1.81 mpaka sasa hivi ninapokusogezea stori hii na kila wakati idadi ya followers inaongezeka kwa sababu watu wengi wanaendelea kumfollow baada ya kufikiwa na hii stori kwamba ukurasa huo uko mikononi mwake kwa sasa.

Tweet ya kwanza aliandika hivi>>”Hello, Twitter! It’s Barack. Really! Six years in, they’re finally giving me my own account“>> @POTUS (President of the United States)

Tweet nyingine ni hii ya chart yake na Bill Clinton>> “Good question, @billclinton. The handle comes with the house. Know anyone interested in @FLOTUS?>> @POTUS


 
 
 

Comments


Follow Us
  • Twitter Basic Black
  • Facebook Basic Black
  • Google+ Basic Black
Recent Posts

                                                                                                 © 2015 created by salum seleman

bottom of page