top of page

SALUM BLOG

We’re here for you!
 

salum blog sport ni blog ambayo inajihusisha na taarifa mbalimbali zinazojitokeza katika nchi yetu hapa tanzania, pamoja na nchi nyingine mbalimbali, salumblogsport, ni blog ambayo inazingatia maadili ya kitanzania na inatoa taarifa zile zenye uhakika na kile ambacho kimetokea katika mazingira husika.

 

Taarifa mbalimbali zitakua zinapatikana hapa kama vile taairifa za michezo , siasa, pamoja na matukio mabalimbali ya kila aina yanayojitokeza.

pia blog hii inakaribisha matangazo mbali ya biashara kwa bei ya chini kabisa ambayo unaweza kuimudu bila matatizo yoyote.

 

vile vile ofisi yetu inajiusisha na matengezo ya blog na tovuti mbalimbali za kibiashara,za watu binafisi na nyingine tofautitofati zitakazo wezesha biaashara yako kukua kwa haraka.

 

pia tunakaribisha maoni mbalimbali yatakayowezesha kufanikisha shughuli hii ya urushaji taarifa ili iweze kusonga mbele .

kwani bila nyinyi wadau hatutafika mbali.

 Maoni yako tutumie kwa njia ya Email mbayo ni hiyo hapo kulia kwako kwenye page yetu.

 

 

 

 

 

 

 

GOT SOMTHING NEW

FOR US?

Your details were sent successfully!

                                                                                                 © 2015 created by salum seleman

bottom of page