top of page

Makubwa asiyoweza kuyasahau Linah kwenye maisha yake ya kimuziki kutoka THT.

  • posted by salum
  • May 19, 2015
  • 1 min read

li.jpg

Mkali kutoka kwenye muziki wa kuimba Tanzania EsterLinah Sanga ‘Linah‘ amekubali kuyasema makubwa ambayo kwake hatokuja kuyasahau kwenye safari yake ya kimuziki baada ya kuingia rasmi Nyumba ya Vipaji Tanzania ‘THT‘ Linah mkali mwenye hit kadhaa ikiwemo Ole themba,jana Mei 19 amesaini...

mkataba mpya na kampuni ya Pana Musiq,kampuni ambayo kwake itakua ya pili kuingia nayo mkataba baada ya ile No Fake Zone kumaliza nao mkataba.Kwanza anasema wakati anaingia THT hakua na uwezo kuperfoam live jukwaani ingawa aliwahi kuimba kanisani lakini anasema Kanisani ni watu wachache wenye kujua kama kuna key(ufunguo) imepanda au imeshuka.Kubwa lingine analosema hawezi kusahau ni namna alivyofundishwa kucheza na sauti kupanda,kushuka,Harmonise kwa sababu wakati anaenda alikua muoga na hakuwa huru na sauti yake.


 
 
 

Comments


Follow Us
  • Twitter Basic Black
  • Facebook Basic Black
  • Google+ Basic Black
Recent Posts

                                                                                                 © 2015 created by salum seleman

bottom of page