top of page
Hottest image of the week!

Muuguzi tena kwenye headlines baada ya kuua wagonjwa wake…
habari ya nesi mmoja kuamua kuwauwa wagonjwa kwa kisingizo wamekuwa wengi hivyo kufanya hivyo kutampunguzia idadi ya wagonjwa anaotakiwa...


Msimamo wa Sterling kwa klabu yake ya Liverpool huu hapa…
Klabu ya Liverpool imepanga kuwa na mazungumzo mazito na winga wake, Raheem Sterling wiki hii baada ya mchezaji huyo kumtamkia kocha...


Safari hii mwakilishi wetu kwenye BET Awards 2015 ni Supermodel huyu hapa !!
Mlango mwingine ni huu unafunguka kwenye historia ya Entertainment Tanzania !! Tayari duniani wanatujua kwa Tuzo nyingi ambazo zimebebwa...


Kinyesi cha panya kwenye urembo wa wanawake…
Nchi nyingi duniani zimekuwa zikikabiliana na matumizi ya bidhaa feki ikiwemo vyakula na vipodozi ambavyo kwa kiasi kikubwa huathiri afya...


Hekaheka part II: kilichoendelea baada ya watu kumvamia mzee aliyedaiwa kujeruhi watu kwa bastola
Jana kulikuwa na Hekaheka kutoka Kurasini Dar iliyokuwa inahusu ishu ya mzee moja kudaiwa kuwajeruhi kwa risasi watu wawili, baadae...


Inawezekana ile Kolabo ya Bob Junior na Jose Chameleone ikatoka mwezi June?
Muimbaji na Mtayarishaji wa muziki kutoka Sharobaro Records Bob Junior ametumia dakika 2 kuongea na millardayo,.com kuhusu kolabo yake na...


Makubwa asiyoweza kuyasahau Linah kwenye maisha yake ya kimuziki kutoka THT.
Mkali kutoka kwenye muziki wa kuimba Tanzania EsterLinah Sanga ‘Linah‘ amekubali kuyasema makubwa ambayo kwake hatokuja kuyasahau kwenye...


Ukurasa wa Twitter sasa hivi uko mikononi mwa Obama.. Idadi ya Followers wake na Tweets zake ndani y
Ni kama miaka sita hivi imepita tangu Rais Obama amekabidhiwa Ikulu ya White House na kuwa Rais wa nchi hiyo.. labda umewahi kuona Tweets...


Kutoka chuo kikuu Dar es Salaam leo May 19 2015 kwenye mgomo wa Wanachuo.
Jana kulikuwa na stori kwenye vyombo vya habari kuhusu wanafunzi wa Chuo cha Saint John Dar kugoma wakidai kutopewa pesa zao za kujikimu...
bottom of page