Kutoka chuo kikuu Dar es Salaam leo May 19 2015 kwenye mgomo wa Wanachuo.
- posted by salum.
- Dec 24, 2013
- 1 min read
Jana kulikuwa na stori kwenye vyombo vya habari kuhusu wanafunzi wa Chuo cha Saint John Dar kugoma wakidai kutopewa pesa zao za kujikimu kutoka Bodi ya Mikopo.. leo hii stori imerudi tena kwenye headlines. Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar nao...
wamefanya mgomo leo kwa kutokuingia darasani, madai yao ni kupatiwa pesa za kujikimu ambazo hutolewa na Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa Vyuoni.
Migomo mingi huwa inakuwa na vurugu, lakini huu waliufanya kwa utulivu huku wakisuubiri uongozi wa chuo kutolea majibu malalamiko yao.


Comments