top of page

Inawezekana ile Kolabo ya Bob Junior na Jose Chameleone ikatoka mwezi June?

  • posted by salum
  • May 19, 2015
  • 1 min read

Muimbaji na Mtayarishaji wa muziki kutoka Sharobaro Records Bob Junior ametumia dakika 2 kuongea na millardayo,.com kuhusu kolabo yake na Jose Chameleone,Kolabo ambayo ilianza kutangazwa toka mwishoni mwa mwaka 2014. Bob Junior amesema kinachosimamisha au kucheleweshwa kwa kolabo hiyo ni kutokana...

Bob-Juniour_lg_lrg-300x160.jpg

na kubanana kwa ratiba ya Chameleone ambaye kila wanapopanga kuonana kwa ajili kupanga na kuandaa vitu kwa ajili ya project hiyo anakua yupo nchi za ulaya kwenye show.

Time hii Bob Junior kasema jana Mei 18,Chameleone kamtumia ratiba yake na inaonyesha kuwa kuanzia tarehe 01 June atakuwepo kwa zaidi ya siku 3 Tanzania hivyo watautumia muda huo kumalizia vitu vilivyobaki kisha waiachie rasmi kwenye radio na Tv.

 
 
 

Comments


Follow Us
  • Twitter Basic Black
  • Facebook Basic Black
  • Google+ Basic Black
Recent Posts

                                                                                                 © 2015 created by salum seleman

bottom of page